English
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA MIPANGO
DODOSO LA KUKUSANYA MAONI YA WADAU KWA AJILI YA MAANDALIZI YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
1
UTAMBULISHO WA MTOA MAONI
2
UTAMBULISHO WA ENEO
3
UFAHAMU KUHUSU DIRA YA MAENDELEO YA 2025
4
MATARAJIO NA MAONO YA TANZANIA 2050
5
VIPAUMBELE VINAVYOPENDEKEZWA
6
MIKAKATI INAYOPENDEKEZWA
7
KUBORESHA UTEKELEZAJI
1
. Umri
2
. Jinsi
Tafadhali Chagua Jinsi
Me
Ke
3
. Kiwango cha juu cha elimu ulichokamilisha
Tafadhali Chagua
Sina Elimu
Elimu ya Msingi
Elimu ya watu wazima
Elimu ya Sekondari (Kidato cha nne)
Elimu ya Sekondari (Kidato cha sita)
Basic Technician Certificate / NTA Level 4
Technician Certificate / NTA Level 5
Stashahada / NTA Level 6
Stashahada ya Juu / NTA Level 7
Shahada / NTA Level 8
Shahada ya Uzamili/ PGD / NTA Level 9
Shahada ya Uzamivu (PhD) / NTA Level 10
4
. Kazi
Tafadhali Chagua Kazi
Ajira (Serikalini)
Ajira (Sekta binafsi)
Ajira (Asasi za Kiraia)
Nimejiajiri - katika shughuli za kilimo
Nimejiajiri - katika shughuli zisizo za kilimo
Nimestaafu
Mwanafunzi
Sina ajira (Sina kazi)
5
. Je, unaishi Tanzania bara au Zanzibar?
Tafadhali Chagua Makazi
Tanzania Bara
Tanzania Zanzibar
6
. Mkoa
Tafadhali Chagua Mkoa
Dodoma
Arusha
Kilimanjaro
Tanga
Morogoro
Pwani
Dar es Salaam
Lindi
Mtwara
Ruvuma
Iringa
Mbeya
Singida
Tabora
Rukwa
Kigoma
Shinyanga
Kagera
Mwanza
Mara
Manyara
Njombe
Katavi
Simiyu
Geita
Songwe
Kaskazini Unguja
Kusini Unguja
Mjini Magharibi
Kaskazini Pemba
Kusini Pemba
7
. Wilaya
Tafadhali Chagua Wilaya
8
. Je umewahi kusikia kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025?
Tafadhali Chagua
Ndiyo
Hapana
Je, ni lini kwa mara ya kwanza ulisikia kuhusu Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025?
Tafadhali Chagua
Ndani ya mwaka 2023 na 2024
Kabla ya mwaka 2023
Je ulisikia kupitia njia gani? Chagua yote yanayohusika i.e unaweza kuchagua jibu zaidi ya moja.
Semina
TV/Radio
Mitandao ya Kijamii
Vitabu
Majarida/Vipeperushi
Magazeti
Mtu mwingine wa karibu
Mikutano/ Maonesho/ Tamasha
Matangazo Nyumba za Ibada
Matukio/ Mikusanyiko ya kijamii mf. misiba
Mbio za mwenge wa uhuru
Nyingine (Taja)
Taja njia nyingine
9
. Katika kipindi cha miaka 25 iliyopita, ni kwa kiasi gani Tanzania imefanikiwa katika Kuboresha hali ya maisha ya watanzania
Tafadhali Chagua..
Haijafanikiwa kabisa
Haijafanikiwa
Imefanikiwa
Imefanikiwa sana
Katika kipindi cha miaka 25 iliyopita, ni kwa kiasi gani Tanzania imefanikiwa katika Kuwepo kwa mazingira ya amani, usalama, na umoja
Tafadhali Chagua..
Haijafanikiwa kabisa
Haijafanikiwa
Imefanikiwa
Imefanikiwa sana
Katika kipindi cha miaka 25 iliyopita, ni kwa kiasi gani Tanzania imefanikiwa katika Kujenga utawala bora
Tafadhali Chagua..
Haijafanikiwa kabisa
Haijafanikiwa
Imefanikiwa
Imefanikiwa sana
Katika kipindi cha miaka 25 iliyopita, ni kwa kiasi gani Tanzania imefanikiwa katika Kuwepo jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza
Tafadhali Chagua..
Haijafanikiwa kabisa
Haijafanikiwa
Imefanikiwa
Imefanikiwa sana
Katika kipindi cha miaka 25 iliyopita, ni kwa kiasi gani Tanzania imefanikiwa katika kujenga uchumi imara na shindani
Tafadhali Chagua..
Haijafanikiwa kabisa
Haijafanikiwa
Imefanikiwa
Imefanikiwa sana
10
. Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
WANANCHI WA KAWAIDA
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
MAKUNDI MAALUM
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
ASASI ZA KIRAIA
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
BUNGE
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
MAHAKAMA
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
TAASISI ZA ELIMU NA TAFITI
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
TAASISI ZA UMMA
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
WADAU WA MAENDELEO
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
SEKTA BINAFSI
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
Unaonaje hali ya Ushirikiano kati ya Serikali Kuu na
VYOMBO VYA HABARI
Tafadhali Chagua..
Sio nzuri kabisa
Sio nzuri
Siwezi kusema sio nzuri au nzuri
Nzuri
Nzuri sana
11
. Je unataka Tanzania iweje katika miaka 25 ijayo?
Yenye mageuzi na maendeleo ya kiuchumi
Inayothamini maendeleo ya watu na jamii
Yenye kuzingatia utawala bora, utoaji haki pamoja na ulinzi na usalama
Yenye maendeleo ya sayansi, teknolojia na uvumbuzi pamoja na mageuzi ya kidigitali
Yenye kuhifadhi mazingira na kuzingatia mabadiliko ya tabianchi
Yenye kuzingatia ubora wa takwimu na usimamizi wa taarifa
Yenye kuzingatia matumizi ya takwimu katika kupanga na kufanya maamuzi
Nyingine
Mtazamo, maono na matarajio mengine ya 1
Mtazamo, maono na matarajio mengine ya 2
Mtazamo, maono na matarajio mengine ya 3
Mtazamo, maono na matarajio mengine ya 4
Mtazamo, maono na matarajio mengine ya 5
12
. Maeneo yapi makuu matatu yapewe kipaumbele cha juu zaidi katika mipango ya maendeleo kwa miaka 25 ijayo?
Teknolojia, ubunifu, na ujasiriamali
Miundombinu wezeshi kiuchumi
Huduma za jamii (Elimu, afya, na maji)
Ulinzi na usalama
Demokrasia na utawala bora
Kilimo cha kisasa na chenye tija
Matumizi bora ya ardhi na mipango miji
Uhifadhi wa mzingira na nishati jadidifu
Kuboresha huduma za fedha zinazojumuisha bima, benki, hifadhi ya jamii na masoko ya mitaji
Nyingine
Eneo lingine la 1
Eneo lingine la 2
Eneo lingine la 3
Eneo lingine la 4
Eneo lingine la 5
13
. Je, nini kifanyike ili kufikia matarajio uliyoyataja?
Kuendelea kuwashirikisha wananchi kwenye hatua zote za upangaji na utekelezaji wa shughuli za maendeleo
Kutambua wananchi na kufungamanisha huduma muhimu
kuweka mikakati ya kisera ya kukuza sekta binafsi za ndani na kutoka nje
Kuendelea kuimarisha utawala bora na utawala wa sheria
Kuwajengea uelewa/ uwezo wa kutumia TEHAMA
Kupunguza umaskini na kuongeza usawa
Kuongeza ushiriki wa sekta binafsi na Asasi za kiraia katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo
Nyingine
Mkakati mwingine 1
Mkakati mwingine 2
Mkakati mwingine 3
Mkakati mwingine 4
Mkakati mwingine 5
14
. Nini kifanyike ili kukuza na kuimarisha hali ya uzalendo, uadilifu na uwajibikaji katika jamii?
Kufundisha/ kujenga hali ya uzalendo/ uwajibikaji kuanzia ngazi za chini mf. shuleni
Kuongeza ushiriki wa wananchi katika utekelezaji wa shughuli za serikali
Kuboresha upatikanaji wa taarifa (uwazi) za utekelezaji wa kazi/ miradi ya maendeleo
Kutunza tamaduni na uirthi wa Mtanzania
Kuongeza hamasa ya kujitoa kikamilifu kwenye masuala ya kijamii na kiuchumi
Nyingine
Mbinu nyingine 1
Mbinu nyingine 2
Mbinu nyingine 3
Mbinu nyingine 4
Mbinu nyingine 5
15
. Je, ni changamoto gani wewe au jamii yako mnakabiliana nazo katika utekelezaji wa shughuli zako/ zenu za maendeleo? (Kama hauna changamoto jaza hakuna)
Changamoto ya 2
Changamoto ya 3
Changamoto ya 4
Changamoto ya 5
Rudi Nyuma
Wasilisha
Tafadhali Subiri...
Endelea
Copyright ©
Planning Commission
- 2024.
'' '' ''